747
SHARES
3.6k
VIEWS

TAARIFA MWENENDO WA BEI ZA MAZAO YA CHAKULA

bei za mazao ya chakula 2022, bei ya mazao soko la kariakoo, bei ya mahindi mpanda, bei ya ufuta kwa kilo 2022

Wastani wa bei za mazao makuu ya chakula kitaifa zimeongezeka na kupungua kwa viwango tofauti ambapo bei za mtama zimeongezeka kwa asilimia 10 na mchele kwa asilimia 1 na bei za maharage, mahindi, na viazi mviringo zimepungua kwa asilimia 3, 2 na 1 mtawalia.

✓ Mahindi: Bei zimeonekana kuwa za juu zaidi katika soko la Musoma, Dodoma-majengo na Babati. Bei za chini zimeonekana katika soko la Arusha Mjini, Tabora na Mpanda.

✓ Mchele: Bei zimeonekana kuwa za juu zaidi katika soko la Dar es Salaam-Ilala, Dar es Salaam Kinondoni na soko la Babati ambapo bei ya chini imeonekana katika soko la Mpanda na soko la Musoma.

✓ Maharage Bei zimeonekana kuwa za juu zaidi katika soko la Mpanda na soko la Tabora ambapo bei za chini zimeonekana katika soko la Morogoro na Iringa Mjini.

✓ Korosho: Kwa msimu wa 2020/21 wa mauzo, mahitaji mpaka sasa yamezidi korosho iliyopo kwa tani 234,733

Download File/s:

Next Post

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Welcome Back!

Login to your account below

Create New Account!

Fill the forms below to register

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.